Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kudanga na kudamshi yametokana na neno kuda ambayo Lina maana ya kupandisha nguo juu ya mapaja kwa kujiandaa na Jambo fulani,ko kwa sasa haya maneno,kudamshi utumika wakati wa mambo kwa kumsifia mdada,kama kupendeza,urembo,uzuri au utamu au wakati wa faragha,lakini kudanga utumika wakati wa mdada anapoamua kutoa raha hasahasa kwa kutafuta pesa ,lakini konki umaanisha zaidi au muruaJamani naomba kujua maana ya maneno haya ambayo yamekuwa yakitumika sana sasa hivi: kudamshi,konki,kudanga