Kudanga na kudamshi yametokana na neno kuda ambayo Lina maana ya kupandisha nguo juu ya mapaja kwa kujiandaa na Jambo fulani,ko kwa sasa haya maneno,kudamshi utumika wakati wa mambo kwa kumsifia mdada,kama kupendeza,urembo,uzuri au utamu au wakati wa faragha,lakini kudanga utumika wakati wa mdada anapoamua kutoa raha hasahasa kwa kutafuta pesa ,lakini konki umaanisha zaidi au murua