Maana ya Mdomo wa juu kucheza kwa anaejua tatzo hili

Ni dalili ya shilawadu kukuajiri Kama reporter wao[emoji40] [emoji40]
 
Una stress!? Saa nyingine hii ni dalili ya mbali ya stroke!
 
Naongezea hapo,kuna baadhi ya dawa pia kama unatumia zinasababisha hiyo hali,pia huwa ni ishara ya baadhi ya magonjwa kwenye mwili wako...
 
Una stress!? Saa nyingine hii ni dalili ya mbali ya stroke!
Hii inaleta sense kidogo mkuu maana wiki hili nimeuziwa kitu fulan fake kwa hela kubwa had nimefulia lakin nimekuta kaz niliotegemea kufanya haiwezi kufanyika
 
Hii inaleta sense kidogo mkuu maana wiki hili nimeuziwa kitu fulan fake kwa hela kubwa had nimefulia lakin nimekuta kaz niliotegemea kufanya haiwezi kufanyika
Basi itakua hiyo, usiyawaze hayo too much!
 
Unapiga domo sana...jaribu kuacha umbea hilo tatizo litakwisha.
 
Jaman mm viganja vya mkono na mguu kuna saa vinachezacheza au kutikisika mpak imekuwa kero
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…