Maana ya ndoa

Ozizosiana_

Member
Joined
Apr 29, 2017
Posts
8
Reaction score
2
#Ni sawa na kuwa na namba 500 kwenye cm yako afu ukafuta namba 499 namba inayo baki ndo mke.
#JE unaweza chati na namba moja maishani mwako mwote...?[emoji29] [emoji1] [emoji2] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji29]
 
Kwa hiyo maana ya ndoa ni ku-chat?
 
Ni ujinga kiasi gani kung'ang'ania papuchi ya mke tu wakati mtaani zimejaa.Kitunze kidumu.Sio ukiwa na hamu mbio kwa mke,mpe nafasi dyudyu yake isikuizi.Cheza game kwa kutumia namba za zamani.Mimi nina namba za mama zenu kabla hata ya wasapu sijui haijaja.
 
#Ni sawa na kuwa na namba 500 kwenye cm yako afu ukafuta namba 499 namba inayo baki ndo mke.
#JE unaweza chati na namba moja maishani mwako mwote...?[emoji29] [emoji1] [emoji2] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji29]

Wenye ' akili ' nyingi Vichwani huu ' uzi ' wako unatutesa sana Mkuu.
 
mke wangu hivi majuzi aliniuliza, ni kwa nini nikikutana na wanawake wenzangu kwenye maongezi huwa wananiambia, mwenzetu mume unae, unafaidi tu shoga..!! aaah !! ni matuuuunda tu ninayokubebeaga siku moja moja wife, wana appreciate..!!
wife akanijibu: hahahaaa !! mume wangu wala usiache ili waendelee kuprishite..[emoji16][emoji16][emoji16]!!
 
inaonekana wachangiaji wote hapo juu hamjaoa
Acha dharau,wengine tupo kwenye maombi vijana wetu muda Si mrefu wanaanza mitihani ya kidato cha sita.Kushinda jamiiforums ni kupunguza sitelesi za maisha.
 
Ni sahihi tu mvua zisinyeshe
Yaani wengine wanalilia nusra ya kuolewa kutwa wanaomba dua lakini mwingine anawaza kumchezea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…