Maana ya neno ACTUALLY

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
1,605
Reaction score
1,957
Wajuzi wa lugha hili neno linatumiwa sana na wadau mbalimbali,hivi nini hasa tafsiri yake?na je ni wakati hutakiwa kutumika?Je twaweza kutoa mifano?
Aksanteni
 
Maana yake ni Kweli/Kwakweli
 
Actually humu jf kunawatu watakusaidia hiyo tafsiri.
 
actually watu kama wewe huwa ni wapumbavu kufungua uzi na kuweka alama ya breaking news wakati actually sio breaking news
 
Actualy binafsi sielewi maana yake.
 
Actually Sizonje ni mpenzi wa mungu na ni rahisi wa wanyonge.
 
Actually nimedhamiria kuwasaidia Taifa lenye nguvu Duniani liwe Tanzania,makofi tafadhalini jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…