maana ya neno AKIDI

kiloloma

Member
Joined
Oct 16, 2011
Posts
54
Reaction score
3
naomba kujuzwa maana ya neno AKIDI, natanguliza shukrani zangu za dhati
 
AKIDI ni idadi na majina ya watu waliohudhuria katika kikao au mkutano fulani maalum. Mahudhurio haya hasa huwa na idadi ya watu fulani ambao lazima wawepo ili jambo fulani liendelee.Mfano ni mikutano ya makampuni na hata Bunge

Tupatupa wa Lumumba
 
i Like it

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…