Maana ya neno BLACKMAIL "kiswahili"

Maana ya neno BLACKMAIL "kiswahili"

hakiam

Member
Joined
Jan 13, 2014
Posts
40
Reaction score
26
Nimeulizwa swali ila nikakosa jib... maana halisi ya neno blackmail,
 
Sidhani kama hilo neno lina maana kwa kutumia neno moja....

Ila ni kutumia ushahidi fulani au uelewa wako wa kitu fulani ambacho mtu amekifanya, kwa kumtishia afanye kitu unachotaka au akupe kitu fulani ili usiweke wazi kile alichokifanya (uendelee kukifanya kile kitu siri)
 
Ni ghilba, utapeli, udanganyifu ambao ni professional sio huu wa kudanganyana na videmu vyenu
Utapeli ni Fraud na wala haiusiani na Blackmail, tatizo Blackmail ni kama jargon au neno fulani linalotumika kwa lugha ya kingereza kumaanisha kitu fulani, nadhani kwa urahisi labda tuseme blakimaili
 
kuchongea, kumchomea mtu utambi, kumchoma, Not quite? Tumia hii: Barua nyeusi= Black mail
 
Hujui nyamaza sio kujibu ilimradi... Huo ni ushamba kwan lazima ujibu.. Au na ww tu uonekanemo.. Mimtu mingine hii
 
Back
Top Bottom