Nimeulizwa swali ila nikakosa jib... maana halisi ya neno blackmail,
Nimeulizwa swali ila nikakosa jib... maana halisi ya neno blackmail,
Hii ni Bribe; kutoa au kuomba kitu ili ufanyiwe kituRushwa.
Utapeli ni Fraud na wala haiusiani na Blackmail, tatizo Blackmail ni kama jargon au neno fulani linalotumika kwa lugha ya kingereza kumaanisha kitu fulani, nadhani kwa urahisi labda tuseme blakimailiNi ghilba, utapeli, udanganyifu ambao ni professional sio huu wa kudanganyana na videmu vyenu
Nimeulizwa swali ila nikakosa jib... maana halisi ya neno blackmail,
Ni ghilba, utapeli, udanganyifu ambao ni professional sio huu wa kudanganyana na videmu vyenu
Wewe Hauna Akili!