[MENTION]Nashukuru [/MENTION]sana mkuu kwa mchango wako. Kajua kuwa kuandika kulikuja baada ya kusema. Kwa hivyo, yaweza kuwa 'nalikuja' ni lahja ya sehemu fulani ambayo sio standard Swahili, au utasema ni jinsi neno Nilikuja lilikuwa likiandikwa kabla ya usanifishaji.
Shukrani