Meddick_Uwezo
Member
- Jul 21, 2018
- 54
- 27
Habarini wanajamvi naombeni kujuzwa na wale wataalam wa lugha hasa kimarekani hivi neno "https://jamii.app/JFUserGuide" linamaana gani ??, Je ni wakati upi yaani muktadha ili neno hutumika maana naona vijana wengi hutumia bila kujua hasa nadhan maneno ya kiingereza hutumika kulingana na muktadha hivyo naombeni mnijuze
Nawasilisha
Nawasilisha