kimsboy JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 9,846 Reaction score 20,319 Jun 10, 2018 #1 naombeni maana ya hili neno "kimalando" kwa kichaga na usisahau kusema ni kichaga cha wapi
stardust JK JF-Expert Member Joined Jan 7, 2018 Posts 2,990 Reaction score 4,241 Jun 10, 2018 #2 Mi pia nasubiri waniambie maana ya neno ngakukunda.. Kuna m'dada wa makamo ameniambia hivyo leo.. Sijui ndo kanitukana[emoji3]
Mi pia nasubiri waniambie maana ya neno ngakukunda.. Kuna m'dada wa makamo ameniambia hivyo leo.. Sijui ndo kanitukana[emoji3]
kimsboy JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 9,846 Reaction score 20,319 Jul 20, 2018 Thread starter #3 stardust JK said: Mi pia nasubiri waniambie maana ya neno ngakukunda.. Kuna m'dada wa makamo ameniambia hivyo leo.. Sijui ndo kanitukana[emoji3] Click to expand... Maana yake "nakupenda"
stardust JK said: Mi pia nasubiri waniambie maana ya neno ngakukunda.. Kuna m'dada wa makamo ameniambia hivyo leo.. Sijui ndo kanitukana[emoji3] Click to expand... Maana yake "nakupenda"