kichukua meno!
sio kila kitu lazima utafsiri kwa kiswahili,ni bora uende ukahimize waislamu kuhesabiwa
Hii kwenye bluu nilikuwa naitafuta sana....Nakuomba ubadilishe kichwa cha habari kisomeke 'Tafsiri ya neno toothpick'. Unapotumia neno ' maana' ni kama unataka kuelezea kitu. Mfano, Nini maana ya Ngamizi mpakato? Atakayekujibu atakuelezea ni kitu gani. Naye akisema ni Laptop atakuwa amekosea kwasababu Laptop ni tafsiri ya ngamizi mpakato.
Hili la kimbaka au vimbaka sina ufahamu nalo na kama ndivyo nashukuru kuleta msamiati.