Maana ya neno ULAFI

Ulafi ni kuchukua zaidi ya kile unacho stahili tena na mara nyingi huambatana na ufujaji iwe chakula au madaraka
 
yaani

hamna tabia ninayochukia kama mtu mzima

awe mlafi wa chakula.....

hata matunda ya watoto hayakai kwenye friji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…