Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Neno sharubaro lina asili ya kiarabu,maana yake ni binti kigoli mwenye kudeka!sasa hawa wanaojiita sharubaro sijui niaje?

Hao wa kibongo hawajiiti sharubaro, wao wanajiita sharobaro hiyo itakuwa na maana nyingine.
Mmh! Wapi huko ulikosikia!nimesikia sehemu maana yake ni sehemu ya kutolea haja kubwa ya nyani, sijui kama ina ukweli wowote.
Hahaha hahahaNeno sharubaro lina asili ya kiarabu,maana yake ni binti kigoli mwenye kudeka!sasa hawa wanaojiita sharubaro sijui niaje?