DITRO YOSIA
Member
- Aug 1, 2016
- 26
- 3
Simu JanjaWadau nahitaji kujua maana ya Neno SMARTPHONE kwa kiswahili
Mkuu umeshindikana....Simu Janja
kivipi nimeshindikana..Mkuu umeshindikana....
smartphone ni simu tanashati naomba kuwasilisha pleazWadau nahitaji kujua maana ya Neno SMARTPHONE kwa kiswahili