Maana ya Tafakuri Jadidi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Nimepatwa kuulizwa swali humu kuhusu haya maneno

  1. Tafakuri tunduizi
  2. Tafakuri jadidi
  3. Upembuzi yakinifu

Tusaidiane kwa kina wadau wa lugha
 
Roby King mbona umekatiza biloa mchango?
 
Tafakuri jadidi:
Neno jadidi asili yake ni upya au mpya, hivyo ukisema "tafakuri jadidi" maana yake itakuwa ni fikra mpya. (au maana inayofanana na hiyo).

Upembuzi Yakinifu:
Upembuzi ni kuchambua. ...Yakinifu asili ya neno yakinifu limetokana na neno yakini ambayo tafsiri yake ya harakaharaka ni uhakika.
Hivyo tunapata maana ya "upembuzi yakinifu" ni uchambuaji (wa masuala) kwa umakini. (au maana inayoshabihiana na hilo).
OBS mimi si mtaalamu wa lugha ya Kiswahili.
 
si haba umetema cheche
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…