Maana ya uchumba

Maana ya uchumba

Baba Kisarii

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2024
Posts
1,844
Reaction score
3,089
Nini Maana ya Uchumba?

Uchumba ni kile kipindi cha Maandalizi ya kufungwa kwa ndoa. Maandalizi haya huhusisha utoaji wa mahari na uandaaji wa sherehe ya harusi (kama itakuwepo). Ikumbukwe kuwa, suala la sherehe Kikristo sio la lazima. Hivyo, hutegemeana tu na wahusika wenyewe wanataka nini.

Uchumba huanza mara baada ya Wazazi wa kijana wa kiume na wazazi wa binti wanapokubaliana kuwa vijana wao wataoana hapo baadaye.

Toka hapo Maandalizi ya Mahari au sherehe huanza. Huo ndiyo Uchumba.

Hii namna ya vijana kukubaliana kuwa wataoana, lakini Wazazi wanakuwa hawana Taarifa Kikristo haiitwi Uchumba. Hiyo huitwa u-girlfriend na u-boyfriend. Ni Jambo lisilokubalika katika ukristo.

Uchumba huanza pale posa inapokuwa imepelekwa kwa wazazi wa binti, wazazi wakishakubaliana na mipango ya kufungwa kwa ndoa kuanza, hapo ndiyo tunaanza kuwaita fulani na fulani ni wachumba.
 
Hii ndio maana yake

Tatizo la sasa unamtongoza binti asubh kwenye daladala, ikifika jioni unaitwa mume wangu mzuri umekula? kifuatacho ITV wazee wa D mbili wanajua
 
Back
Top Bottom