JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Uhuru wa kujieleza ni haki inayompa kila mtu uhuru wa kutoa na kupokea maoni, kupokea na kutoa taarifa na mawazo bila kuingiliwa.
Uhuru wa kujieleza humfanya kila Mwananchi kuwa sehemu ya Serikali na kumfanya awe na uzalendo na Nchi yake.
Uhuru wa kujieleza unalinda haki ya mawazo na taarifa mbalimbali zinazompa Mwanachi nafasi ya kuwa sehemu ya maendeleo.
Upvote
1