maana ya ukipendacho.

yaser

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
1,361
Reaction score
299
habalini wanajamii wenzangu, samahanin kama nitakua nawakera kwa kuandika tusi hili ila ni kwa lengo zuri tu la kutaka kumjulisha kijana wa leo asichokijua au alichokisahau.naomba wanajamii mfahamu kirefu cha **** kama ifuaavyo;
K-kifo
U-umaskini
M-maradhi
A-aibu.
Kwa kawaida ukiwa mpenda hii kitu lazima kimoja kikukute take care sana.
 
huna ulijualo unatapatapa
babako asingependa ungezaliwa wewe?

Nyoooo, mnashindwa ku-control zip zenu mnakuja na mameno ya kistupids hapa.

Kama unaona hicho ki-meat chako kina maana sana, kitengenezee mshkaki basi angalau uuze upate hela.

Shabashhhhh! Hapa nimeruka kung fu
 

Kwani cha uongo kipi hapo? Naunga mkono na mguu hoja. Hawa vilambalamba hawa!
 
hii imepote njia...kaka/dada huku co chit-chat
 
sasa modfs wanaacha ushenzi huu ili iweje??????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…