Ni kwamba unaweza kupoteza kila kitu katika maisha kama vile Mali, mke, watoto, au kukosa marafiki, ndugu na jamaa na maisha yakasonga na baada ya muda ukapambana na kuvirudisha. Lakini suala la uhai ni jambo lisilojirudia, ukifa umekufa na mambo yako yote. Ndio maana ikitokea mtu anadai au kugombania kitu na mtu mwingine hughaili jambo hilo kwa kutumia msemo huo, akimaanisha kuwa kikubwa uzima ipo siku atapata
Barafu la moto