maana yake nini

maana yake nini

Nicko

Member
Joined
Aug 13, 2009
Posts
24
Reaction score
2
jamani nani anajua maana ya cinnamon kwa kiwahili..na pia inapatikana wapi hapa Tanzania.
 
jamani nani anajua maana ya cinnamon kwa kiwahili..na pia inapatikana wapi hapa Tanzania.

REKEBISHO: Kiswahili....not kiwahili. Kwa vile swali lako linauliza "nani anajua, then mimi PJ ninajua! Nadhani tuko pamoja!
 
Dalasini na inapatikana katika maduka yote ya viungo vya chakula.
 
Back
Top Bottom