maana yake nn

maana yake nn

emboaba

Senior Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
143
Reaction score
117
habar za asubh...
jana kulkuwa na hz habar za amber ruty.. katka kuptia koment nkakutana na neno 'danga'.. iv hl neno lna maana gan...
kwasabu wanaume anaitwa danga na mwanamke anaitwa danga..
maana sahih ya Danga ni ip..
 
Ni aina ya kanywaji kinachonywewa asubuhi saa nne karibu na kituo cha polisi mkuu.Akchuale ni mambo ya mjini haya
 
hili ndilo danga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
1540619540227.jpeg

mkuu danga ni mwanamke mwenye tabia ya kula vya wanaume hapa na pale, yaani aliyejigeuza duka linalotembea
 
Dangaaaaaa lina maana ya Mtu mtafutaji au msakaji wa kitu (By yule anayehojiwaga na Filip Mwihava kuhusu kiswahili wa Redio mawingu)
 
Dangaaaaaa lina maana ya Mtu mtafutaji au msakaji wa kitu (By yule anayehojiwaga na Filip Mwihava kuhusu kiswahili wa Redio mawingu)


no comments bro... lmefit kotekote
 
Danga Ni Msanii Wa Bongo Flavour Alimaarufu Kwa Jina La Joh Makin Ndo Aliimbaga Hv Kwnye Wimbo Wake Ule Wa Madaraka Ya Kulevya

NANUKUU MSTARI WA JOH MAKIN
"Bongo Movie Wananiita Danga"
 
Back
Top Bottom