Kurzweil JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 6,621 Reaction score 8,411 Aug 19, 2014 #1 Habari wanaJF ningepebda kujua nini maana ya maneno yafuatayo ambayo yanatumika katika mchakato wa katiba mpya. 1-Randama 2- Bango Kitita Ahsante naomba kuwasilisha.
Habari wanaJF ningepebda kujua nini maana ya maneno yafuatayo ambayo yanatumika katika mchakato wa katiba mpya. 1-Randama 2- Bango Kitita Ahsante naomba kuwasilisha.
M Mokoyo JF-Expert Member Joined Mar 2, 2010 Posts 15,145 Reaction score 5,566 Aug 19, 2014 #2 haya wanaweza kukujibu wajumbe wa kamati ya Mzee Warioba
kingJabdy Jr Member Joined Jan 12, 2013 Posts 23 Reaction score 5 Aug 20, 2014 #3 duh! hebu tuambieni