Maana za maneno haya yanayovuma kwa sasa

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Habari wanaJF ningepebda kujua nini maana ya maneno yafuatayo ambayo yanatumika katika mchakato wa katiba mpya.

1-Randama
2- Bango Kitita

Ahsante naomba kuwasilisha.
 
haya wanaweza kukujibu wajumbe wa kamati ya Mzee Warioba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…