Maandalizi AFCON U17 : Serengeti boys waichapa Cameroon

Ile timu ya wakubwa imekua kichwa cha mwendawazimu!! Bora hii ya watoto!!
 
Je hayo Mashindano ya AFCON yataonyeshwa na TV gani ya ndani?
 
Je hayo Mashindano ya AFCON yataonyeshwa na TV gani ya ndani?
Sidhani kama kuna channel ya TV za local kama inaonyesha hayo Mashindano maana nchi hii Michezo sio priority.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…