Maandalizi Mabwenini kibaha..

Maandalizi Mabwenini kibaha..

BenMcAfee

Member
Joined
Aug 18, 2011
Posts
71
Reaction score
6
Asalaam alyekum wadau wote..
Hakika jana baada ya kumwona mwakilishi mmoja wa nchi yetu huko London akipewa kichapo kama mtoto.... Nina wasiwasi saana na tutakachokipata huko olympic 2012 London.
Kuna baadhi ya wadau waliwahi kunukuliwa kuwa watachoma vyeti vyao ikiwa filbert atarudi na medal.. Si chelei kumuunga mkono.
 
Lile pambano lingekua la round kumi na mbili angerudi kwenye jeneza
 
Back
Top Bottom