likandambwasada
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,402
- 6,081
Hapa hapa. Nipe coke bariidiii
Chakula cha jioni Adamu shafiMI MAWAZO YANGU YALIKUWA MBALI HAPO KWENYE 'CHAKULA CHA JIONI'
Bada hilo shamac
Hakuna kyepe?
Aisee natama huyo mwanamke angekuwa amenioa mbona ningefaidi sana
Kuolewa kawaida sana
Huko kuolewa vipi tena ?
Hujui kuwa kuolewa na mwanamke raha?Kuolewa kawaida sana