Hujui kuwa kuolewa na mwanamke raha?
Yupi huyo
Ndyo nakupa faida hvyo mkuu
Aisee, sikua na taarifa hiyo bwashee.
Wewe apo usijifanye hujanisomaYupi huyo
Ndyo nakupa faida hvyo mkuu
Mimi mwenyewe kani - bore kimbwa! Mi nikajua nakutana na madude yaliyoamka! Hahahahaaa!MI MAWAZO YANGU YALIKUWA MBALI HAPO KWENYE 'CHAKULA CHA JIONI'
Kipi?
Duh, asante kwa taarifa mkuu,
Ila hicho kinywaji situmii mkuu.
[emoji23] [emoji23]MI MAWAZO YANGU YALIKUWA MBALI HAPO KWENYE 'CHAKULA CHA JIONI'
Kipi?
Hivyo skuiz sinywi Nina masaa 7 sijanywa
Kiroba.
Hapo steak iwe half cooked....ukiikata kuna vidamu kwa mbaaaali. Kuna vitu vimemiss hapa au hii sio Sunday Roast?
Man of Dar at flick bwahahahaha