SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Wasalimie mkuu mimi nipo upande wa kijani...sipo nanyi kwa sura ila kwa moyo
kwa hiyo uhuru bado hatujaupata au siyo? Sisi si ndiyo tunaoshitaki au tumeshitakiwa?Michango hata wakati wa kupigania uhuru ilikuwepo
Eti maelfu ya wananchi! Kuhudhuria You are not serious kwa kweli.Ile kesi inayosubiriwa kwa hamu na Dunia nzima, ambayo imefunguliwa na Watanzania Wazalendo , ya kupinga Mkataba mbovu wa kukodisha Bandari za Tanganyika kwa Waarabu wa DP WORLD , ambayo imepangwa kuanza kusikilizwa kesho 20/07/2023 , Maandalizi yake yamekamilika .
Wananchi wa Tanganyika na hasa wakazi wa Jiji la Mbeya na vitongoji vyake wamejitokeza kwa wingi kujiandaa na misafara ya kuelekea Mahakamani , kama mambo yataenda sawa Kyela zitatoka Gari 4 aina ya Coaster , moja itatoka Katumbasongwe , moja itaanzia Boda , Moja itaanzia matema na nyingine itaanzia Kyela Mjini Stendi .
View attachment 2693194
Karibu sanaEti maelfu ya wananchi! Kuhudhuria You are not serious kwa kweli.
Nina akili zangu timamu mie.Karibu sana
Kwa kweli pongezi kwaoNiwapongeze wana wa Mbeya. Mtatuletea ukombozi. Kwa mara ya kwanda kuna wananchi wameamka na kuweza kusema "HILI HATULIKUBALI" The dawning of a new era in Tanzania!!!!