Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Jamani jamani !
Utamu wa kongoro una siri yake .
Maandalizi ya kongoro ni shida.
Nyembe , visu na nyenzo kadhaa chafuchafu hutumika kuandaa chakula hicho pendwa hasa nyanda za kaskazini mwa Tanzania.
Kutoa manyoya ni kazi ngumu inayohitaji nyenzo zenye makali haswa. Wasiwasi wangu huwa ni zile nyembe , siamini kama huwa ni mpya au used ! Na used toka wapi na kwa nani ?
Hatari sana !
Utamu wa kongoro una siri kubwa.