Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
huwa wanatumia hata used poa tuu, mradi kushiba mkuuJamani jamani !
Utamu wa kongoro una siri yake .
Maandalizi ya kongoro ni shida.
Nyembe , visu na nyenzo kadhaa chafuchafu hutumika kuandaa chakula hicho pendwa hasa nyanda za kaskazini mwa Tanzania.
Kutoa manyoya ni kazi ngumu inayohitaji nyenzo zenye makali haswa. Wasiwasi wangu huwa ni zile nyembe , siamini kama huwa ni mpya au used ! Na used toka wapi na kwa nani ?
Hatari sana !
Utamu wa kongoro una siri kubwa.
Ukifika unaliosha vizuri unatia chumvi unachemsha likiiva tupia huko ndiz zako weeeHuku kwetu linauzwa likiwa limesha tolewa manyoya na kukatwa katwa
Maana haina ShakaHahaa.... mimi ndiyo maana napenda kupiga supu ya utumbo
Mie nayapenda sema kuyapika mtihani. Niliwahi kuyapika for more than 3 hours hayajaiva. Sijui nilikosea wapiHuku kwetu linauzwa likiwa limesha tolewa manyoya na kukatwa katwa
Mimi sipendi yalegee sana, ni rahisi kuyachemsha kwa pressure cookerMie nayapenda sema kuyapika mtihani. Niliwahi kuyapika for more than 3 hours hayajaiva. Sijui nilikosea wapi