MAANDALIZI YA KOROSHO KUSINI YANAENDELEA

MAANDALIZI YA KOROSHO KUSINI YANAENDELEA

Uhuru24

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
4,112
Reaction score
4,361
Mwaka wa korosho ushaanza kusini huko,watu wanapulizia dawa ili kuweka afya ya mikorosho.

Sasa sijui tutegemee sarakasi gani mwaka wa korosho ambao ni 2019/2020
 
Back
Top Bottom