Uhuru24 JF-Expert Member Joined May 2, 2015 Posts 4,112 Reaction score 4,361 Sep 8, 2019 #1 Mwaka wa korosho ushaanza kusini huko,watu wanapulizia dawa ili kuweka afya ya mikorosho. Sasa sijui tutegemee sarakasi gani mwaka wa korosho ambao ni 2019/2020
Mwaka wa korosho ushaanza kusini huko,watu wanapulizia dawa ili kuweka afya ya mikorosho. Sasa sijui tutegemee sarakasi gani mwaka wa korosho ambao ni 2019/2020