Maandalizi ya kupata mtoto/watoto

Maandalizi ya kupata mtoto/watoto

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Ni nani ambaye hapendi kuwa na mtoto/watoto? Asilimia 90 wanapenda.. Lakini mtoto/watoto hawapatikani dukani ama gulioni ama mnadani kwamba utaenda Kuchagua uwatakao na kununua.. La hasha

Kupata mtoto/watoto ni commitment moja kubwa sana yenye kuhitaji utayari na kujitoa kwa wazazi wote wawili

Ogopa sana wazazi wanaosema..
. Mimi nataka tu mwanamke wa kunizalia/kuzaa naye
. Mimi nataka tu mwanaume anipe ujauzito

Wazazi wa namna hii hawajitambui na hawaelewi commitment waliyonayo kwenye kuleta mtoto/watoto duniani

Kwanza ni lazima tufahamu ya kwamba kwenye kipengele cha kuzaa mama anayo role kubwa sana na kimsingi na kipekee ndiye ajuaye baba halisi wa mtoto..

Hivyo basi mwanamke asi force kubeba mimba ya mtu ambaye hayuko tayari kuzaa naye

Ni lazima na ni muhimu suala la kuzaa likubalike na pande zote mbili za wahusika bila kutumia ushawishi wa aina yoyote ile wala kulazimishana

Watoto wengi wa mitaani ni matokeo ya hilo jambo hapo juu

Kabla ya kukubaliana kuzaa ni lazima sana sana

Muwe mnapendana, Mnaheshimiana, Mnasaidiana, Mnajaliana, Mna hofu ya Mungu. Na mko tayari kuzikabili changamoto za kiumbe kipya duniani kupitia nyie

Changamoto wakati wa kutafuta kutunga mimba

Changamoto wakati wa ujauzito, Changamoto baada ya kujifungua..! Mimba zina mengi.. Mazuri na mabaya..
Vyovyote mimba itakavyokuja ni muhimu sasa wahusika wakuu washikamane sana...! Na hili litawezekana tu endapo mlishaishi kwenye mahusiano kwa muda mrefu na kufamiana vema ndani nje!

Kuna mimba huja na baraka mpaka mtoto kuzaliwa.. Hapa hakuna shida kabisa! Lakini kuna mimba huja na changamoto hasi kuanzia kutungwa mpaka kuzaliwa!

Hapa ndio pale umuhimu wa kufahamiana vema unapoonekana.. Kwakuwa ni rahisi mno kukimbiana, kuchukiana kugombana ama hata kukwepana!
 
Muwe mnapendana
Mnaheshimiana
Mnasaidiana
Mnajaliana
Mna hofu ya Mungu
Na mko tayari kuzikabili changamoto za kiumbe kipya duniani kupitia nyie

Changamoto wakati wa kutafuta kutunga mimba
Changamoto wakati wa ujauzito
Changamoto baada ya kujifungua..!
Mimba zina mengi.. Mazuri na mabaya..
Vyovyote mimba itakavyokuja ni muhimu sasa wahusika wakuu washikamane sana...! Na hili litawezekana tu endapo mlishaishi kwenye mahusiano kwa muda mrefu na kufamiana vema ndani nje!
Kuna mimba huja na baraka mpaka mtoto kuzaliwa.. Hapa hakuna shida kabisa! Lakini kuna mimba huja na changamoto hasi kuanzia kutungwa mpaka kuzaliwa!
Hapa ndio pale umuhimu wa kufahamiana vema unapoonekana.. Kwakuwa ni rahisi mno kukimbiana, kuchukiana kugombana ama hata kukwepana!
Kwahiyo ni muda gani sahihi wa watu kufikia kwenye hiyo commitment.

Ubaya wa mimba, huwa zinaingia zaidi bahati mbaya kuliko kwa kupanga.
 
Wazazi wengi ni wabinafsi sana. Unazaa bila baba huyo mtoto alikuambia atafurahi kuishi bila baba? Unazalisha unasepa, unadhani huyo mtoto atafurahi kukua bila wewe? Ubinafsi tu!
 
Kwahiyo ni muda gani sahihi wa watu kufikia kwenye hiyo commitment.

Ubaya wa mimba, huwa zinaingia zaidi bahati mbaya kuliko kwa kupanga.
Na hapo kwenye bahati mbaya ndipo penye tatizo kubwa
 
Ni nani ambaye hapendi kuwa na mtoto/watoto? Asilimia 90 wanapenda.. Lakini mtoto/watoto hawapatikani dukani ama gulioni ama mnadani kwamba utaenda Kuchagua uwatakao na kununua.. La hasha

Kupata mtoto/watoto ni commitment moja kubwa sana yenye kuhitaji utayari na kujitoa kwa wazazi wote wawili

Ogopa sana wazazi wanaosema..
. Mimi nataka tu mwanamke wa kunizalia/kuzaa naye
. Mimi nataka tu mwanaume anipe ujauzito

Wazazi wa namna hii hawajitambui na hawaelewi commitment waliyonayo kwenye kuleta mtoto/watoto duniani

Kwanza ni lazima tufahamu ya kwamba kwenye kipengele cha kuzaa mama anayo role kubwa sana na kimsingi na kipekee ndiye ajuaye baba halisi wa mtoto..

Hivyo basi mwanamke asi force kubeba mimba ya mtu ambaye hayuko tayari kuzaa naye

Ni lazima na ni muhimu suala la kuzaa likubalike na pande zote mbili za wahusika bila kutumia ushawishi wa aina yoyote ile wala kulazimishana

Watoto wengi wa mitaani ni matokeo ya hilo jambo hapo juu

Kabla ya kukubaliana kuzaa ni lazima sana sana

Muwe mnapendana, Mnaheshimiana, Mnasaidiana, Mnajaliana, Mna hofu ya Mungu. Na mko tayari kuzikabili changamoto za kiumbe kipya duniani kupitia nyie

Changamoto wakati wa kutafuta kutunga mimba

Changamoto wakati wa ujauzito, Changamoto baada ya kujifungua..! Mimba zina mengi.. Mazuri na mabaya..
Vyovyote mimba itakavyokuja ni muhimu sasa wahusika wakuu washikamane sana...! Na hili litawezekana tu endapo mlishaishi kwenye mahusiano kwa muda mrefu na kufamiana vema ndani nje!

Kuna mimba huja na baraka mpaka mtoto kuzaliwa.. Hapa hakuna shida kabisa! Lakini kuna mimba huja na changamoto hasi kuanzia kutungwa mpaka kuzaliwa!

Hapa ndio pale umuhimu wa kufahamiana vema unapoonekana.. Kwakuwa ni rahisi mno kukimbiana, kuchukiana kugombana ama hata kukwepana!
Well said...
 
Back
Top Bottom