Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
MATAYARISHO YA MAULID KWA ZITTO LEO USIKU
Mida hii kuna matayarisho makubwa uwanjani Kwa Zitto Mtaa wa Kionga na Jaribu, Magomeni Mapipa.
Uwanja uliozoeleka kwa chips na berbeque za kila aina umegeuka kuwa uwanja wa Qur'an, kumsalia Mtume SAW na visomo vya kuwaombea maghufira masheikh zetu, wazazi wetu, ndugu na jamaa waliotangulia mbele ya haki.
Tunasubiri baada ya Isha ndipo shughuli In Shaa Allah ianze rasmi.
Imependeza sana kwa shughuli hii kuanza huu Mfungo Tano kama ishara ya kuukaribisha Mfungo Sita ambao ndiyo khasa Mwezi wa Maulid.
Karibuni Nyote.