Kweli kabisa,Morogoro ni Mkoa mkubwa sana sia ajabu mtu akatoka Morogoro mjini kufika huko anatumia siku nzima akiwa safarini,ni kuwapa tabu wananchi tu kuzifuata huduma umbali mrefuNa sisi wa ulanga vipi!? Mbona mnatuacha ua kwakua hatujatoa mkuu wa nchi!?
Kutakuwa na mkuu wa mkoa,wilaya na wakurugenzi,hivi hawaoni gharama kuongezeka au tozo itasaidia?Hiyo Geita yenyewe bado japo ni mkoa.CCM linapokuja suala la masirahi yao hawaogopi gharama hata iwe kubwa vipi.Natabiri sasa kila mkoa utataka uwe na viongozi wa juu serikalini na hapo ndipo taifa linaelekea kumeguka.Ile kauli yao kuwa usione vyaelea vimeundwa wameacha kuu-ishi.Katika kile kinachoonekana ni maandalizi ya kuanzishwa na kutangazwa kwa mkoa mpya wa Chato, Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa wamekubali kuhamia mkoa wa Geita.
Wananchi wa Buchosa wamekuwa wakisafiri umbali mrefu kufuata huduma Mwanza wakati wapo karibu na mkoa wa Geita.
Inasadikika chini ya kapeti, Tarehe 14/10/2021 siku ya Nyerere na kilele cha mbio za mwenge kitaifa, mkoa mpya wa Chato utatangazwa!
View attachment 1957987
Bado tunashughulikia Chato,Ulanga msubiri kidogoNa sisi wa ulanga vipi!? Mbona mnatuacha ua kwakua hatujatoa mkuu wa nchi!?