Maandalizi ya uchaguzi Kenya

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Wajameni Afrika ni zaidi ya vichekesho pale uchaguzi unapokaribia ebu oneni vifaa vilivyo agizwa ili kuhakikisha walengwa wanashinda

In God we trust
 
Na Tanzania 2015 ilikuwa hivyo hivyo.
Yaliagizwa magari ya washawasha na magari ya namna nyingine zaidi ya 700.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…