Maandalizi yaanza ya kuwarejesha Wakenya walioko UK, muda umefika kila mtu afie kwao

Maandalizi yaanza ya kuwarejesha Wakenya walioko UK, muda umefika kila mtu afie kwao

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kitumbua kimeingia mchanga, dunia imeingia kwenye reset mode, inajitia balance fulani hivi, hivyo kila mtu bora arudi kwao afie kwenye ardhi ya mababu zake, hata wazungu wameagizwa warudi kwao japo huko huko uzunguni wanakupukutika kwa maelfu, lakini wameamua bora na wao wakafie huko.

Serikali ya Kenya imeanza mikakati ya kuwarejesha Wakenya walio nje, iwe UK, Uchina, US na kote kote.

Medics conduct public health emergency drill at JKIA on October 19, 2016

Medics conduct public health emergency drill at JKIA on October 19, 2016

The Kenyan High Commission in London has unveiled plans to evacuate a section of Kenyans stranded in the United Kingdom since the Covid-19 pandemic struck the globe.

In a statement released on Sunday, April 19, the ambassador noted that the high commission was in communication with the Ministry of Foreign Affairs to allow for the evacuation.

If it succeeds, some 211 Kenyans will board a plane to land at the Jomo Kenyatta International Airport (JKIA).

"The Kenya High Commission London is in continuous communication with the Ministry of Foreign Affairs Headquarters in Nairobi about the fate of some Kenyans who may be stranded in the UK due to flight cancellations occasioned by the Covid-19 pandemic.

"We are working on logistics for a possible evacuation flight from London's Heathrow to Nairobi. Kenya Airways has given 211 as the minimum number of passengers for whom a chartered flight can be arranged," read part of the statement.
  • The embassy also clarified that the interested Kenyans would, however, have to foot the bill for their airfare.
    "Those keen to fly back to Nairobi will be expected to meet the cost for their air ticket and also be subjected to the 14-28 days mandatory quarantine period imposed by the government at their own cost," continued the statement.
    This comes just a day after the Kenyan Embassy to China caused a stir after announcing that it was ready to evacuate Kenyans in China as long as they foot their own air ticket.

  • This is after the Kenyans spoke out in detail, arguing that they had been evicted from their house and were forced to live in the streets. They also lamented at how they had been subjected to forced Coronavirus (Covid-19) tests.
    The embassy also demanded that the Kenyans were to file details with the Embassy and must be Coronavirus free.
Source: kenyans.co.ke
 
Serikali ya Kenya imefilisika mpaka inataka kuwadalalia wananchi wake nauli za kuwarejesha makwao kwa ndege za serikali
 
Ni afadhali kuliko yale wanapitia huko
Kenyans in Middle East r next to be deported via cargo flights!

WATANZANIA WAWILI WATUPWA BAHARINI KUTOKA KWENYE MELI WAKIHOFIWA KUWA NA # COVID19
> Amiri Salamu(20) na Hassani Rajabu(30) walitoswa baharini na Wachina wakiwa wamepewa ‘life jackets’ na chupa za maji wakatakiwa kuogelea hadi nchi kavu
FB_IMG_15873060791981365.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni afadhali kuliko yale wanapitia hukoWATANZANIA WAWILI WATUPWA BAHARINI KUTOKA KWENYE MELI WAKIHOFIWA KUWA NA # COVID19
> Amiri Salamu(20) na Hassani Rajabu(30) walitoswa baharini na Wachina wakiwa wamepewa ‘life jackets’ na chupa za maji wakatakiwa kuogelea hadi nchi kavuView attachment 1423826

Sent using Jamii Forums mobile app

Woooiii!! Hii ni zaidi ya hatari sasa....
 
Ni afadhali kuliko yale wanapitia hukoWATANZANIA WAWILI WATUPWA BAHARINI KUTOKA KWENYE MELI WAKIHOFIWA KUWA NA # COVID19
> Amiri Salamu(20) na Hassani Rajabu(30) walitoswa baharini na Wachina wakiwa wamepewa ‘life jackets’ na chupa za maji wakatakiwa kuogelea hadi nchi kavuView attachment 1423826

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole zao ila kwa huyo mwenye kupayuka umemzonga za uso na chini ya mkanda!..
 
Ni afadhali kuliko yale wanapitia hukoWATANZANIA WAWILI WATUPWA BAHARINI KUTOKA KWENYE MELI WAKIHOFIWA KUWA NA # COVID19
> Amiri Salamu(20) na Hassani Rajabu(30) walitoswa baharini na Wachina wakiwa wamepewa ‘life jackets’ na chupa za maji wakatakiwa kuogelea hadi nchi kavuView attachment 1423826

Sent using Jamii Forums mobile app
Africa needs to unite and retaliate against these barbaric acts.
 
aiseee naona mambo ni nom mazeee...mzee liquidi anaripoti laivu kulee whtsapp kuwa hospitalini kumejaa ile hatareeee...mwendo ni wa kuambukizana tu dah![emoji23]
FB_IMG_1587311641867.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini kuna uzi humu mnasema mmenyofoa viti vya ndege mpakie mbogamboga na matunda kulinda ajira za Wakenya walioko ng'ambo. Vipi mpango hautekelezeki?
 
Lakini kuna uzi humu mnasema mmenyofoa viti vya ndege mpakie mbogamboga na matunda kulinda ajira za Wakenya walioko ng'ambo. Vipi mpango hautekelezeki?
Drimulaina ziko 8, mbali na hapo kuna boeing 737 na 777 kadhaa, sio ndege zote zilingolewa viti.

1587322795803.png
 
Serikali ya Kenya imefilisika mpaka inataka kuwadalalia wananchi wake nauli za kuwarejesha makwao kwa ndege za serikali
Hata marekani nchi tajiri zaidi kuliko nchi zote duniani, nchi ambayo kwa movie zote za hollywood hua inaonyeshwa ikituma ndege za ku evacuate raia wake kutoka popote pale hata kama ni raia mmoja tu....

Na bado hao marekani wana hamisha raia wao kwa nauli ya wananchi, kama we ni mmarekani na hauna nauli haubebwi, unaachwa kwa hio nchi hadi corona iishe...

-----------------------------------------------------------------------------------------------
In late March, the Trump administration said it had “launched an unprecedented global effort to bring home our citizens.” But which citizens? From what I can tell by the emails I still receive from the embassy in Nairobi, only the ones with money. Last week, the State Department said that it had “been coordinating with our embassies and airlines to facilitate over 280 commercial rescue flights. These flights have been used to repatriate more than 27,000 American citizens, and at no cost to the U.S. taxpayer.” The cost is borne by the stranded citizens.

As for those who can’t afford a rescue flight even if they could find a seat on one, it looks as if they are on their own. “For an indefinite period.”
Stranded in Kenya and Abandoned by My Country. Again. — EHRP

----------------------------------------------------------------------------------------------
 
Wala sio kweli edited ila ndi ila si covid-19, walikuwa wazamiaji na waliokolowe na kesi walishinda na walipwa na hao waChina.

Back
Top Bottom