kipara kipyaCHADEMA wamefanikiwa sana hapa Moshi kusimamisha mji mzima, ni matarumbeta, makelele, hamasa kila kona ya mji. Watu wamesimamisha shughuli zote na kuunga mkono juhudi za CHAMA. Asante sana wana Moshi mmeonesha njia!
View attachment 2977553
Ataanza kulialia huku anaandika kwa kutetemeka.
Sijui imekuwaje tena labda ccm wameizuia, nita-upload tena.Video haichezi chief! Sijui ni kwangu pekee
Anaweweseka huyo!
Umeamua kujifariji !!!CHAWA WA MAMA UKO WAPI?Hiyo moshi yoote ni sawa na bunju tena bunju kubwa sana. Hakuna jipya
Moshi ndio wakazi wa bunju, mbeya,kahama ,dar yote ,mwanza Kila konaHiyo moshi yoote ni sawa na bunju tena bunju kubwa sana. Hakuna jipya
Moshi unaijua??Umeamua kujifariji !!!CHAWA WA MAMA UKO WAPI?