Nyie wanaharamu hii kitu ishawashinda kubalini tu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Updates za maandamano yasiyo na kikomo Tanzania.
Twende pamoja
View attachment 3520635
Mbagala tarehe 25 Desemba 2025 saa 1 jioni
View attachment 3520636
Kawe tarehe 25 Desemba 2025 saa 2 usiku
Taarifa za maeneo mengine ya nchi zinafuatiliwa na zitapostiwa hapa
wahalifu si unajua wanatakiwa kufanywajeUsisahau mazingira magumu sana wanayokutana nayo waandamanaji.
Huko kuandamana pekee kwa aina yoyote ile na mahali popote ni ujasiri mkubwa sana.
Hayo yote unayoyazungumzia wewe, hattua hiyo itafikiwa wakati mwafaka.
Sasa hivi ni kuandamana kwa namna yoyote inayowezekana kuonyesha nia thabiti ya kuleta ukombozi ndani ya taifa letu.
PyeeeeeeeeUsisahau mazingira magumu sana wanayokutana nayo waandamanaji.
Huko kuandamana pekee kwa aina yoyote ile na mahali popote ni ujasiri mkubwa sana.
Hayo yote unayoyazungumzia wewe, hattua hiyo itafikiwa wakati mwafaka.
Sasa hivi ni kuandamana kwa namna yoyote inayowezekana kuonyesha nia thabiti ya kuleta ukombozi ndani ya taifa letu.
Subiri hapo hapo, utaelewa.kwahio na wewe ulijua kuna maandamano kwel
Ndio wadai miili yaohizi video ni mwezi sasa zinarudiwarudiwa na kuwekewa vitarehe vipya
sauwaaaaSubiri hapo hapo, utaelewa.
Unawafata umekua jogoo mtetea? Kaa kula bia wewe Hadi utambaeWamepita hapa Bar kila nikitaka kuwafata naanguka hizi bia za leo sio poa kabisa🤣🤣
Mfugaji wako Samia Suluhu Hassan ni "mhalifu". Ndiyo, najuwa kitakachomkuta na Genge lake lote. Nguruwe kama wewe mtakuwa vitoweo tu!wahalifu si unajua wanatakiwa kufanywaje
unamaanisha wale wa mwananyamala 🤣Mfugaji wako Samia Suluhu Hassan ni "mhalifu". Ndiyo, najuwa kitakachomkuta na Genge lake lote. Nguruwe kama wewe mtakuwa vitoweo tu!
mpaka zmeisha qualityhizi video ni mwezi sasa zinarudiwarudiwa na kuwekewa vitarehe vipya
Kama ni mizoga ya panya naweza kukubaliana na wewe moja kwa moja!!Kimenuka!
Humjui Samia Suluhu hassan, mfugaji wako unayemtegemea kupata makombo ya chakula toka kwake; mtu mwovu kabisa kumshinda hata shetani?unamaanisha wale wa mwananyamala 🤣
wewe umejuaje kama sio mmoja wa wale wachoma nchiHumjui Samia Suluhu hassan, mfugaji wako unayemtegemea kupata makombo ya chakula toka kwake; mtu mwovu kabisa kumshinda hata shetani?
Mimi najuwa hakuna adui mkubwa zaidi anayeihatarisha Tanzania kwa sasa hivi kuliko Samia Suluhu Hassan na Genge lake. huyu ndiye anayetakiwa kuondolewa kwa njia yoyote ile ili taifa hili libaki salama..wewe umejuaje kama sio mmoja wa wale wachoma nchi
mwaka wa 60 sasa, walikuepo kama wewe ila wakaondoka wakaiacha! ccm ndo tanzaniaMimi najuwa hakuna adui mkubwa zaidi anayeihatarisha Tanzania kwa sasa hivi kuliko Samia Suluhu Hassan na Genge lake. huyu ndiye anayetakiwa kuondolewa kwa njia yoyote ile ili taifa hili libaki salama..
Haya yote nilishakuelewesha huko siku za nyuma nilipokuwa nakuchukulia kuwa ni mtu, badala ya nguruwe; sasa unataka nirudi kule kule? Sina muda huo wa kupoteza.mwaka wa 60 sasa, walikuepo kama wewe ila wakaondoka wakaiacha! ccm ndo tanzania
Kioo cha jamiiMsanii.
jifunze kuubeba ukwelHaya yote nilishakuelewesha huko siku za nyuma nilipokuwa nakuchukulia kuwa ni mtu, badala ya nguruwe; sasa unataka nirudi kule kule? Sina muda huo wa kupoteza.
huyo anawachora, amefanya maksudiSio Taarifa sahihi , jaribu kuweka taarifa za uhakika nipo dar kwa sasa na nipo kawe