Watu Wamepigwa risasi huko arusha wakiwa wamekaa tu, wengine October 29 walikuwa ndani.
Kitu ambacho hukijua issue hapa sio kufanya vurugu watu watazuiwa sio kwasababu ya vurugu watazuiwa kwa sababu ya mafisadi kutaka kung'ang'ania madaraka.
Hili la vurugu ni kisingizio tu, lakini maandamano haya ya #D9 hayatokosa vurugu kuna watanzania wengi waliuwawa October 29 huwezi kusema kutakuwa kibubu bubu