HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,108
- 1,132
Habarini,
Shida zote ndani ya Afrika zinatokana na matumizi makubwa ya serikali kwa kununua magari ya kifahari na kujilipa mishahara na marupurupu makubwa pasipo kujali kuondoa huduma mbovu za wananchi.
Wananchi wagome na kuandamana dhidi ya matumizi mabaya ya raslimalinza serikali na siyo kodi kwani kodi ni muhimu kwa maendeleo ya nchi tatizo ni matumizi mabaya ya fedha za kodi wanazolipa wananchi.
Tukianza na hili mengine yatanyooka yenyewe kama vile siasa safi na huduma bora.
Mawasilisha.