Mwenzako akinyolewa, za kwako tia maji.
Imedhihirika kumbe tunaopata shule siyo kina sisi peke yao, bali na serikali husika hasa zile zenyewe sugu kwenye kukiuka haki za watu.
Hapa, Uganda tayari wanajizatiti kwa mazoezi mazito mazito kungali asubuhi:
Sijui makwetu jikoni au kule Nanjilinji, Kilwa hali iko je?
Kina sisi hatuna cha kuficha. Tunajua tuna kwama wapi. Tutafanya reshuffle watake wasitake.
Asiyekuwa tayari kujikana nafasi yake akauza vyote alivyo navyo na kuwapa maskini kisha kabla ya kuja kumfuata Yesu, huyo hatufai.
Odinga hana watu 1,000 na jahazi linakwenda. Tuna 8m + liende vipi mrama?
Tunao majasiri wengi kuliko huyu mwamba wasiokuwa na majina:
Wavumao baharini ni papa, ila na wengine wapo.
-------
Uganda police carry out drills in anticipation of food prices city protests