Maandamano Kenya na hatari ya usalama wa nchi yetu

Sikubaliani na wewe unaposema kuwa eti sio kuwa taifa la kenya lina vijana jasiri kuliko wa Tanzania 😳.Ukweli ni kuwa vijana wa kenya ni jasiri kuliko wale wa Tanzania . Taifa letu limejaa vijana waoga, na machawa. Jasiri ni wachache. Angalia response yao linapotokea jambo linalowahitaji waandamane. Angalia wasanii wetu wanavyojipendekeza ccm. Angalia vyombo vyetu vya habari vinavyoimba nyimbo za sifa huku waandishi wakisubiria teuzi kutoka serikalini.
Mpende , msipende, vijana wa kenya ni jasiri mno.
 
Hii Mess ndiyo nilikuwa naitafuta nimwone aliyeibeba! Huyu mwamba ametisha anaenda kuiweka makumbusho nyumbani kwake
 
Kwanza kabisa nimshukuru mama yangu kwa kutukopea hela za ujenzi japo mafundi sio waaminifu wanauza sementi na misumali hali inayo pelekea nyumba kushindwa kukamilika ila mama hana baya anaupiga mwingi tutakopa tena na tena.
 
Sawa ila mshaurini awe nakini na chokochoko ndogo ndogo. Azihandle kwa tahadhari, hata Tunisia,Libya na Misri zilianza hivi hivi na Chawa wakawa wanawapamba walieko madarakani
Sisi tutaanza na chawa siku hiyo watanena kwa lugha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…