M Mumbo Member Joined Oct 31, 2010 Posts 19 Reaction score 0 Nov 7, 2010 #1 Nawaaminia wana wa Rock city,ni dalili nzuri kwa maandalizi ya 2015.Mkwere ana kazi kwelikweli na mafisadi wenzie!kupingwa hadharani?????Big up Rais wangu DR.SLAA!Wamekubania mwaka huu,subiri 2015.Habari zaidi,bofya Ghasia Mwanza zapatiwa dawa
Nawaaminia wana wa Rock city,ni dalili nzuri kwa maandalizi ya 2015.Mkwere ana kazi kwelikweli na mafisadi wenzie!kupingwa hadharani?????Big up Rais wangu DR.SLAA!Wamekubania mwaka huu,subiri 2015.Habari zaidi,bofya Ghasia Mwanza zapatiwa dawa
Genekai R I P Joined Feb 9, 2010 Posts 12,514 Reaction score 4,998 Nov 7, 2010 #2 Kwa Mza, thithiemu watafanya kazi ya ziada sana. Hatutaki utani wa kijinga na kudanganywa na mafisadi!
Kwa Mza, thithiemu watafanya kazi ya ziada sana. Hatutaki utani wa kijinga na kudanganywa na mafisadi!
mnyikungu JF-Expert Member Joined Jul 26, 2009 Posts 1,962 Reaction score 2,477 Nov 7, 2010 #3 Hayo matokea watayakubali wao na wake zao mimi wala!
Mfamaji JF-Expert Member Joined Nov 6, 2007 Posts 6,630 Reaction score 1,945 Nov 7, 2010 #4 wasifanye maandamano? Yatafanyika hata ndani ya mioyo yetu . Maandamano is just gesture . Actiom bado mazee
wasifanye maandamano? Yatafanyika hata ndani ya mioyo yetu . Maandamano is just gesture . Actiom bado mazee