Wananchi wa Kata ya Olijoro namba 5 Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara ambapo leo Agosti 26, 2024 yamefanyika maandamano makubwa ya Wananchi wakiishinikiza Serikali, Kuwapatia maji baada ya huduma hiyo kuikosa kwa muda mrefu sasa.
Wananchi na Viongozi wa Vijiji wamesema changamoto hiyo ni ya muda mrefu licha kuwepo kwa ahadi nyingi ambazo azijatakelezwa hadi sasa.
Aidha wamesema ndoo moja ya maji wanauziwa kwa shilingi 1500. Wananchi hao wamefika mbali zaidi wakidai hawajawahi kumuona mkuu wa Mkoa na Mbunge wa jimbo hilo katika kata yao.
Wamewataka viongozi wa mkoa huo wakiwemo Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya kufika wajionee watu wanavyoumia kwa shida ya upatikanaji wa huduma muhimu ya maji.
Halafu unanunua magoli kwa milioni 50 na unafanya anasa huko kwako Kizimkazi. Watu wanashida aisee na hizo zote ni hila za kuwafanya wakimbie halafu Waarabu wamilikishwe
Wananchi wa Kata ya Olijoro namba 5 Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara ambapo leo Agosti 26, 2024 yamefanyika maandamano makubwa ya Wananchi wakiishinikiza Serikali, Kuwapatia maji baada ya huduma hiyo kuikosa kwa muda mrefu sasa...

katika muda usio kua mrefu jambo hilo litakua limepatiwa ufumbuzi wa kuduma kadiri ya maelezo ya mamlaka husika, natoa wito wa utulivu na subra kwa watu wote wa eneo husika na maeneo mengine yenye changamoto kama hizo nchini, na kwa kupitia kamati za maendeleo, hususani kamati za maji kutoa yaarifa kwa mamlaka husika mapema iwezekanavyo..
welldone injinia makini sana wa maji kwa maelezo mafupi lakini muhimu na ya kina sana kuhusu suluhu ya maji ktk eneo hilo muhimu nchini,, hii ndio maana halisi ya serikali sikivu ya CCM chini ya jemedari shupavu Dr.Samia suluhu Hassan
Halafu unanunua magoli kwa milioni 50 na unafanya anasa huko kwako Kizimkazi. Watu wanashida aisee na hizo zote ni hila za kuwafanya wakimbie halafu Waarabu wamilikishwe
Wananchi wa Kata ya Olijoro namba 5 Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara ambapo leo Agosti 26, 2024 yamefanyika maandamano makubwa ya Wananchi wakiishinikiza Serikali, Kuwapatia maji baada ya huduma hiyo kuikosa kwa muda mrefu sasa.
Wananchi na Viongozi wa Vijiji wamesema changamoto hiyo ni ya muda mrefu licha kuwepo kwa ahadi nyingi ambazo azijatakelezwa hadi sasa.
Aidha wamesema ndoo moja ya maji wanauziwa kwa shilingi 1500. Wananchi hao wamefika mbali zaidi wakidai hawajawahi kumuona mkuu wa Mkoa na Mbunge wa jimbo hilo katika kata yao.
Wamewataka viongozi wa mkoa huo wakiwemo Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya kufika wajionee watu wanavyoumia kwa shida ya upatikanaji wa huduma muhimu ya maji.
katika muda usio kua mrefu jambo hilo litakua limepatiwa ufumbuzi wa kuduma kadiri ya maelezo ya mamlaka husika, natoa wito wa utulivu na subra kwa watu wote wa eneo husika na maeneo mengine yenye changamoto kama hizo nchini, na kwa kupitia kamati za