Tayari wako mitaani mbona..Tunasubiri kuwaona US Army wakizima maandamano.
Mlisema Dar es Salaam maiti zinaokotwa barabarani watu wanadondoka, au mnataka kufuta hilo sio kweli?Kwahivyo mtu akiambukizwa COVID-19 huwa anaanguka na anakufa, 'on the spot', kama wanavosema kwa kimombo?
Mmiliki wa mabasi ya Marangu coach amefariki dunia katika Hosp ya AghaKhan hii kwa changaomoto ya upumuaji
Wanafanya yale ya kijeshi jeshi au ?Tayari wako mitaani mbona..
Basi hao wanajeshi itakua bao sana ni kama na wao wanaangalia waandamanaji.Wajeda wala hawana mpango wa kupiga raia
Nionanvyo mimi, katika hali ya dharura kila nchi ina uhuru wa kuchukua hatua kulingana na uzito wa janga lenyewe na pia njia ambazo ukubwa huo wa janga unaweza kumalizwa bila ya kuathiri kwa kiwango kikubwa maisha ya watu wa nchi husika! Tumshukuru Mungu kwamba maambuzi kwetu hayakuja kwa kasi sana kama ilivyotokea China, Italia na nchi nyingine ambazo zimerikodi visa vingi vya maambukizi na idadi kubwa ya vifo. Kama na sisi tungebanwa mbavu hivyo naamini hata sisi tungeweza kuchukua hatua kali zaidi. Kudhani kama kuwa na 'lockdown' ni ku'copy' na ku'paste' ni kuwa off track. Kila nchi ina uhuru wa kuamua kutumia 'approach' au methodolojia fulani.Tulitemegemea watu wangekufa barabarani wakati wakiandamani. Tulitemegema tungeona Ambulance ikiokota maiti mitaani
Ni Rais Magufuli pekee Africa ndiye aliyeshtukia kuwa ugonjwa ulikuwa unasambazwa vifaa feki. Viongozi wenye vichwa AUTOMATIC wanakopi na kupest kutoka kwa Mabeberu.
Unajifunza nini
Jamaa yangu corona imefeli Afrika kwa sababu nyingi tu. Watu ilifaa wazijue na kutumia hiyo advantage badala ya kuingiza nchi ktk madeni makubwaNionanvyo mimi, katika hali ya dharura kila nchi ina uhuru wa kuchukua hatua kulingana na uzito wa janga lenyewe na pia njia ambazo ukubwa huo wa janga unaweza kumalizwa bila ya kuathiri kwa kiwango kikubwa maisha ya watu wa nchi husika! Tumshukuru Mungu kwamba maambuzi kwetu hayakuja kwa kasi sana kama ilivyotokea China, Italia na nchi nyingine ambazo zimerikodi visa vingi vya maambukizi na idadi kubwa ya vifo. Kama na sisi tungebanwa mbavu hivyo naamini hata sisi tungeweza kuchukua hatua kali zaidi. Kudhani kama kuwa na 'lockdown' ni ku'copy' na ku'paste' ni kuwa off track. Kila nchi ina uhuru wa kuamua kutumia 'approach' au methodolojia fulani.
Inawezekana na inawezekana sivyo. Tulihitaji kushirikiana ili kwa baadaye tuweze kwa pamoja ku'evaluate' nchi gani iliathirika au haikuathirika sana na kwa namna gani ili tuweze kupata suluhisho la pamoja na kujiweka tayari kwa majanga mengine yanayoweza kutokea kwa sababu ya mabadiliko ya tabia nchi. Hapa Afrika tunaweza kuwa washindi katika janga hili (at least kwa sasa), lakini janga lingine linaweza kuja na kutuumiza zaidi na ndiyo maana majanga yanahitaji tuwe pamoja. Ni fursa kwa wataalamu wetu wa afya kufanya utafiti na kuona kitu gani kimetusaidia sana na kitu gani hakijatusaidia sana.Jamaa yangu corona imefeli Afrika kwa sababu nyingi tu. Watu ilifaa wazijue na kutumia hiyo advantage badala ya kuingiza nchi ktk madeni makubwa
1. Ukanda wa Joto wa Kitropic
Afrika yenye especially ktk eneo la Tropic joto ni Jingi hivo hata mtu akipiga chafya virus hataweza kukaa ktk anga kwa muda mrefu. Anakufa
2. Africa yenye joto haina majengo Vertical
Wenzetu ambao wanaishi flats za ghorofa 20 au 40 hivo wanategemea ngazi na lift chache zilizopo. Kwa upande mmoja inaonekana ni utajiri lakini umaskini wetu wa kuishi hapa na pale umetufanya tuwe na social distancing bila kujua hivo kuishinda corona mapema
Fikiria ni kiasi muambukizano upo kwenye mazingira ya nyumba za ghorofa.
Fikiria lockdown inaleta challenge ktk maisha hayo
3. Chanjo za utotoni na mazingira hafifu
Waafrika wengi washatumia dozi za maralia hizo chloroquine, chanzo za polio, pepopunda nk zimeifanya miili yetu iwe tayari na kinga na pia sugu kwa baadhi ya vimelea
Bado tu niendelee....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hahahahahaa...Ulitaka asife[emoji15]