Maandamano makubwa nchini Afika Kusini

think BIG

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2008
Posts
236
Reaction score
42
Chama cha wafanyakazi nchini Afika Kusini (COSATU) leo kimefanya maandamano makubwa kupinga ongezeko la Mafuta, Umeme na Chakula. Maandamano hayo ya kitaifa, yamefanyika katika miji yote ya nchi hiyo.

Public Transport umesitishwa kwa siku yote ya leo.

Sasa tunawasubiri TUCTA!
 
Moja ya madai yao ni ongezeko la umeme kwa asilimia 27.5! ESKOM ndio TANESCO yao.

 

Attachments

  • SA-strike.JPG
    45.3 KB · Views: 78
tanzania wenyekutumia umeme ni asilimia 5,hapo unategemea nini.pili ukiwa na gari hasa uswailini uchelewi kukuta jirani yako kachimba choo barabarani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…