Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Ikumbukwe majuzi tu CHADEMA wamefanya maandamano ya amani, zaidi ya mikoa 10 nchini. Na wakaenda kupeleka petitions zao maeneo malimbali ikiwa ni pamoja na UN-Tanzania, na wala hapakua na Tatizo lolote. Walipewa full security na polisi Tanzania..
Sasa what went wrong kwenye haya maandamano ya leo? Hivi petition yao wangempelekea nani, hali ya kua waliokusudia kumuondoa madarakani kwa lazima ndie mpokea petition?
Honestly,
Samia Must Go was Very Wrong aime of maandamano, dear friends ladies and gentlemen.
Hiyo si fujo ndrugu zango, lakini pia ni kinyume na misingi ya kuanzishwa kwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo?
Kwamba Chadema sasa inapambana kuharibu Demokrasia nchini, right?
Ni muhimu sana Chadema wakarudisha think tank yao mara moja kazini, ili kuepuka mihemko na ukurupukaji wa viongozi wao kwenye mambo ya msingi kitaifa kama haya 🐒
Mungu Ibariki Tanzania