MAANDAMANO:polisi wapiga mabomu ya machozi Arusha.

MAANDAMANO:polisi wapiga mabomu ya machozi Arusha.

Idd Ninga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2012
Posts
5,497
Reaction score
4,775
katika hali isiyo tarajiwa polisi jijini humu wamelazimika kutumia nguvu ya ziada kuwatawanya waandamanaji walokuwa wakiandamana bila kibali na kuzua taharuki katikati ya jiji la Arusha.
waandamanaji hao wa vyama na asasi tofauti zisizo za kisiasa na kiserikali walikuwa wakiandamana ili kuishinikiza serikali kupanga tukio la kupatwa kwa mwezi mwaka ujao kufanyika kitaifa mkoani Arusha kwa mwaka huu mkoa wa Mbeya ulifanyiwa upendeleo na haukustahili kupata tukio kama hilo..
vurugi ni kubwa na majeruhi wengi wamekimbizwa hospitalii kwa ajili ya kuongezwa maji ya matikiti baada ya kupigwa na mabomu huku majeruhi wengi wakiwahishwa kwa waganga wa kienyeji baada ya kugundulika kumeza vipande vya risasi na maji ya kuwasha.
bado tupo eneo la tukio na tutaendelea kuwahabarisha zaidi kadri matukio yatakavyo ripotiwa.
chanzo:BBC KIMERU.
 
Haaahaaaaahaaa Ngoja na mimi nipendekeze 2018 serikali iteue mkoa wa mwanza
 
Back
Top Bottom